Patricia 'baby'
Member
- Aug 26, 2014
- 5
- 3
Jamani huyu mkaka sijui yuko wapi tangu nilipomwonaga kwe ile party mwezi uliopita siku hiz haonekani hapa kwa Mjini.Nayeye yuko alinambia ni mtoto wa kwa mkubwa wa serikali na hata ndie alieniunganisha hapa Jf.I enjoyed dat day nakufanya nipende ishi kwa Tanzania.So kama kuna mutu yuko na contact zake let you inbox me(PM).I love you all Tanzanians
siyo vyema kuzushia watu mambo ya uongo william MALECELA anapatikana sana Instagram(Almsost daily yupo kule)Le mutuz ni mdananda tu! mjini kama watu wanaomuweka town wakiwa bize na yeye hupotea mjini.
Le mutuuz ndo nani?
Yuko busy anazunguka na mgombea wake Mh. Pinda
Le mutuuz ndo nani?