King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
acha kudanganya watu tv za chogo hazina ubora wa picha kwa sababu zifuatazo
ubora wa picha unatokana na uwezo wa tv kutoa more color options, color option ktk tv zinahesabiwa kwa kutumia pixels, kwa lugha rahisi pixels ni vidot vidogo vinavyokua na rangi nyingi tofauti, tv za chogo zinatumia teknolojia ya CRO( cathode ray osciliscope) ina maximum ya chini sana ktk kutoa izo pixels ndo teknolojia ya juu izo LCD zimeongeza uwezo wa kutoa more pixels with the same screen size, watu wakachemsha akili wakaja na LED ambazo zimeongeza uwezo wa pixels per the same screen size.
kwa iyo determining factor ni uwezo wa kutengeneza pixels nyingi per screen size hata simu kabla hujanunua watengenezaji wanajitamba iwingi wa pixels per screen size which automatically determine how good the picture will b.
mi natumia samsung series 5 LED inch 39
asee ni tamu sana.. alafu ukitaka kuzifaid tv izi usitumie nyaya za pini tatu... tumia HDMI CABLE.. utafwaidi sana yani hapa nimeiunga na pc yangu aisee nachat FB kwa raha msarehee ki2 clear had inakera yani balaaa!!! af sasa uzuri wake ni kwamba unaweza kuiupdate kwa software zao samsung pale tu watapotoa muonekano mpya wa screen na option zake...
#NUNUA LED na sio LCD
Skiliza mkuu kwa ufupi. Hizo zote ni flat screen zakisasa. ila tofauti ina kuja kwenye picture quality. LCD ( Liquid Crystal Display) ni mfumo wa nyuma kidgo kbla ya LED (Light Emitting Diode). LCD zina aina flani ya picture ambayo haina tofauti sana na hizi screen za zmani za chogo tatizo ni mundo tu ila picture quality zina karibiana japo LCd ina kuwa ipo juu zaidi kuliko chogo. Ila unapo kuja kwenye LED hii ina toa picture quality ya hali ya Juu sana kuliko LCD. Ambazo kwa technology ya sasa tunasema HD (High Defination). Na dhani ukitemeblea maduka ya samsung mengi yanauza LED kwa sasa kana kwamba pale unapo chki hata zile picha we mwenywe una vutiwa na ile screen. Pia hata swala la bei za hizi screen LED zipo juu sana kuliko LCD. ndio hayo tu kwa upeo wangu naweza kukueleza ila pia pitia kwenye forum tofauti kweny internet utapata maelezo zaidi. asante
LCD = liquid crystal display
Mwangaza wa kioo (Screen brightness) hutolewa na fluorescent plate/membrane (paper/plastic like material) iliyopo nyuma ya kioo kinachoonesha picha.
advantages of LCD
- Low price
- Good picture/image
disadvantages of LCD
- Unsharp images/picture (Picha hazina mng'aro wa kutosha)
- Glowing after you switch off TV/Screen(Screen itaendelea kuwa namwanga hata baada ya kuzima TV, kama zilivyo tube light au energy saver lights). hii husababisha picha kuwa na Blur , na kushindwa ku display vizuri picha zenye Frame rate kubwa, kama vile TV ikionesha picha ya gari lililopita kwa kasi kubwa, utaona tuu mistari.
- doesnt support high frame rates
LED= Light emitting diode
mwangaza wa screen husababishwa na Taa za LED zilizopo kwenye corners za screen
advantages of LED
- Sharp picture
- newer technology
- supports very high frame rates
disadvantages of LED
- high price
Wadau hivi kuna mchina zake?? Maana tusijepigwa!!!
acha kudanganya watu tv za chogo hazina ubora wa picha kwa sababu zifuatazo
ubora wa picha unatokana na uwezo wa tv kutoa more color options, color option ktk tv zinahesabiwa kwa kutumia pixels, kwa lugha rahisi pixels ni vidot vidogo vinavyokua na rangi nyingi tofauti, tv za chogo zinatumia teknolojia ya CRO( cathode ray osciliscope) ina maximum ya chini sana ktk kutoa izo pixels ndo teknolojia ya juu izo LCD zimeongeza uwezo wa kutoa more pixels with the same screen size, watu wakachemsha akili wakaja na LED ambazo zimeongeza uwezo wa pixels per the same screen size.
kwa iyo determining factor ni uwezo wa kutengeneza pixels nyingi per screen size hata simu kabla hujanunua watengenezaji wanajitamba iwingi wa pixels per screen size which automatically determine how good the picture will b.
mdau projector gani nzuri kwa ubora wa picha?
LCD = liquid crystal display
Mwangaza wa kioo (Screen brightness) hutolewa na fluorescent plate/membrane (paper/plastic like material) iliyopo nyuma ya kioo kinachoonesha picha.
advantages of LCD
- Low price
- Good picture/image
disadvantages of LCD
- Unsharp images/picture (Picha hazina mng'aro wa kutosha)
- Glowing after you switch off TV/Screen(Screen itaendelea kuwa namwanga hata baada ya kuzima TV, kama zilivyo tube light au energy saver lights). hii husababisha picha kuwa na Blur , na kushindwa ku display vizuri picha zenye Frame rate kubwa, kama vile TV ikionesha picha ya gari lililopita kwa kasi kubwa, utaona tuu mistari.
- doesnt support high frame rates
LED= Light emitting diode
mwangaza wa screen husababishwa na Taa za LED zilizopo kwenye corners za screen
advantages of LED
- Sharp picture
- newer technology
- supports very high frame rates
disadvantages of LED
- high price
Mchina si ndo hizo singsung.. Kama ukiona huzielewi vizuri bora ukanunue kwenye duka la samsung kabisa kama unapenda hiyo brand. The same applies to other brands.
singsung ni kampuni nyingine ambayo kwa soko la nchi za afrika zinafanya vizuri ila kati ya hizo hizo singsung kuna fake na original.
Okay mkuu hapo at least umenipa kitu kipya. Ahsante
singsung ni kampuni nyingine ambayo kwa soko la nchi za afrika zinafanya vizuri ila kati ya hizo hizo singsung kuna fake na original.
Wadau hivi kuna mchina zake?? Maana tusijepigwa!!!