Holla fam,
Hopes your Saturday is good so far, mine is bam bam like coco yam [emoji532] [emoji39][emoji39].
Oouukey, why a new thread...
Nilienda mahali mchana, wakati natoka hapo mahali nikakutana na wadada wanaenda kuvunja kikoba tulisoma wote lasaba B...
Baada ya salamu na selfie za hapa na pale wakaanza, Kasie twende karibu ujumuike nasi kwenye kikoba chetu .....
Nikawashukuru kwa ukaribisho ila nikaendelea na ratiba zangu.
Kuna kitu nasita kukisema hapa maana mhusika kama yumo humu atavuruga weekend yangu.
Mwisho wa siku nikajirejesha nyumbani na kuanza kujidunga.....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2040716
Karibuni....[emoji39][emoji39]
Nasubiri mida mida ifike nikapashe viungo [emoji1437].
Kasinde bibi Samfood.