Utaoza meno ohoooooooHolla fam,
Hopes your Saturday is good so far, mine is bam bam like coco yam π ππ.
Oouukey, why a new thread...
Nilienda mahali mchana, wakati natoka hapo mahali nikakutana na wadada wanaenda kuvunja kikoba tulisoma wote lasaba B...
Baada ya salamu na selfie za hapa na pale wakaanza, Kasie twende karibu ujumuike nasi kwenye kikoba chetu .....
Nikawashukuru kwa ukaribisho ila nikaendelea na ratiba zangu.
Kuna kitu nasita kukisema hapa maana mhusika kama yumo humu atavuruga weekend yangu.
Mwisho wa siku nikajirejesha nyumbani na kuanza kujidunga.....πππππ
View attachment 2040716
Karibuni....ππ
Nasubiri mida mida ifike nikapashe viungo ππ½.
Kasinde bibi Samfood.
A town, kesho jion dom; anyway nitakubebea nyingi kama utaitajiTatizo sipati lokesheni nnazotumiwa....
Acha tuu, chokoleti tamuu...πππ
Aminisha
Sukari sukari si nzuri kwa huo umri wakoHolla fam,
Hopes your Saturday is good so far, mine is bam bam like coco yam π ππ.
Oouukey, why a new thread...
Nilienda mahali mchana, wakati natoka hapo mahali nikakutana na wadada wanaenda kuvunja kikoba tulisoma wote lasaba B...
Baada ya salamu na selfie za hapa na pale wakaanza, Kasie twende karibu ujumuike nasi kwenye kikoba chetu .....
Nikawashukuru kwa ukaribisho ila nikaendelea na ratiba zangu.
Kuna kitu nasita kukisema hapa maana mhusika kama yumo humu atavuruga weekend yangu.
Mwisho wa siku nikajirejesha nyumbani na kuanza kujidunga.....πππππ
View attachment 2040716
Karibuni....ππ
Nasubiri mida mida ifike nikapashe viungo ππ½.
Kasinde bibi Samfood.
Can't IAmini tuu...
Huo ndo uhalisia.
Kwa hizo pushups haina noma usisahau maj mengiNapiga push up 50, bado si nzuri....!!π₯Ί
βοΈ karibuWould love that, thanks in advance π.
Nop usiache kunywa majiNajitahidi japo sikuhizi nimekuwa mvivu kunywa maji...