So, What is this For ? Itawasaidiaje Watanganyika? Au ndio kuendelea kutuchanganya... Fanya Utafiti kwanza basi? 'cause u still leave this matter in a suspense... and create more questions than answers to more audiance...
Umeona -- tulivyo na shida? Tuna Internet tunashidwa kutoa habari pefu; tunazidisha Maswali kwenye hizo habari...