wakuu nilikuwa nataka kujua series ya launch x 431 ipi inaanza na ipi ni latest ya mwisho kabisa na wametengeneza mwaka gani
je katika series zote ipi ww unaikubali ni bora zaidi ikiwezekana na vigezo vyake kwanini iwe bora zaidi ya nyingine??
je? kati ya launch x431 master
na launch x431 master IV ipi ilianza na ipi ni toleo la mwisho.
hii ni launch 431 master IV
na hii hapa ni launch x431 master.
launch x431 diagum
launch x431 GDS
launch x431 diagum III
je ipi ni best??
kuna aina zingine hizi za launch x431 GX3, launch x431 GDS ,launch x431 diagun 3,launch x431 pro V. n.k
shida yangu kujua ni mtililiko wa matoleo yao ya hizo mashine lilianza toleo lipi na lipi lilifuata na toleo lao la mwisho kabisa ni lipi na lilitoka mwaka gani??