folota JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 251 Reaction score 161 Sep 15, 2023 #1 Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja
Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja
Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,715 Reaction score 9,050 Sep 15, 2023 #2 folota said: Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja Click to expand... Pia thread yako sio rafiki, watu ambao hawako kwenye biashara ya usafirishaji hawawezi kuelewa hii thread..
folota said: Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja Click to expand... Pia thread yako sio rafiki, watu ambao hawako kwenye biashara ya usafirishaji hawawezi kuelewa hii thread..
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,116 Reaction score 29,567 Sep 15, 2023 #3 folota said: Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja Click to expand... Acha hasira, eleza kitu ueleweke. Unaanza kuwalaumu Latra, Latra wanasoma malalamiko yako yanayoanzia mwisho na kuishia mwisho!
folota said: Mfumo unauliza maswali unajibu yote ya nida ukikamilisha unaambiwa utatumiwa link ukipata link ni kama unaanza moja Click to expand... Acha hasira, eleza kitu ueleweke. Unaanza kuwalaumu Latra, Latra wanasoma malalamiko yako yanayoanzia mwisho na kuishia mwisho!
M Mlamba asali JF-Expert Member Joined Dec 11, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,292 Sep 15, 2023 #4 Tuliza wenge uandike vizuri