LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Stendi kama imetelekezwa hiv. Stendi ya makumbusho sí wangehamishia hapo?

Latra. Vile vidaladala vya dar vimeisha zidiwa ajza' kusajiri mabasi makubwa kama ya mwendokasi ili kutoka huduma.

Bajaji na pili piga marufuku kutuma barabara kuu na kubwa. Wafanye kází huko mitaani
 
Mleta uzi ni mpuuzi mpuuzeni:
1. Magari mengi namba E na D bado yana hali nzuri ..zingatia (mengi?

2. Kuvaa sare naunga mkono, utanashati kazini unavutia...hicho kituo ni kizuri sana.

3. Bajaji zinatoa option ya mtu kuvhagua aina ya usafiri autakao na bajaji inahitaji abiria 3 au 4 tu

Sioni msingi wa mslalsmiko yako wewe Tabutupu
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Mwenye nacho anadharau asienacho, na mwenye Cheo anadharau asiye na Cheo
 
Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..
Kuna magari number A na B au C ni mazima na mazuri kuliko hayo ya E na mengine ni E lakini mabovu yamefanyiwa re registration

Kweli hao akili matope
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..

1. Kwani hiyo stand ni Mali binafsi ya latra?

2. Kwani latra ni madalali wa magari ndani au nje ya nchi?

3. Kumbe uzima wa gari ni namba zake?

4. Si waweke magari yao wajaribu?

Siyo siri hawa jamaa ni Bure kabisa!
 
Kuna magari number A na B au C ni mazima na mazuri kuliko hayo ya E na mengine ni E lakini mabovu yamefanyiwa re registration

Kweli hao akili matope
Ukikusanya magari namba E utakutana na magari mabovu katikati ya magari yenye hali nzuri.

Ukikusanya magari namba A utakutana na magari yenye hali nzuri katikati ya magari mabovu.

Nadhani umenielewa boss.
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Hii inashangaza sana kama kigezo ni kusema magari ni mabovu swali langu ni hili.

Je kama gari ina namba E au D lakini ukitizama kwa macho unaliona kabisa choka mbaya watakubali liingie kwa kigezo hicho cha namba D au E? Maana kigezo wamesema ni E au D. na wakikataa kwa kusema ni bovu je C kama lipo vizuri kwanini walikatae?

Hayo magari tatizo ni nini kuingia kituoni? wanajua kero za wananchi magari ni machache? nani anatoa liseni za usafiri? walikuwa wapi na kwa nini sasa walete utaratibu huu sasa.
 
Kuna njia nyingi sana hapa dar sasa hivi hawatoi leseni na wanakuka na kigezo cha gari liwe na namba fulani wakati kuna vibajaji vimechoka ukiviona vitatembea utadhani mlevi wa mbege.

Wananchi tunahitaji kusafiri na sio namba za magari, kjna magari yana namba E lakini ni mabovu kuliko hayo namba A.

Latra ingesema mabasi yanayo takiwa ni yale yenye seat kuanzia 40 na kuendelea tungewaelewa, tungejua wanalengo la kuounguza foleni

Tunaomba wizara husika ilitazame hili, jiji linapitia wakati mgumu sana kwenye usafiri kwa sababu ya taasisi isiyo na maoni kama latra.
Hivi namba ndio inaonesha upya(brand new)wa gari?.au ni chasses namba au hatua hiyo Ina maana ganiiii.
 
Back
Top Bottom