Latop Skins

Mnandi

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
156
Reaction score
28
wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha?? na zinaRange kwenye shilingi ngapi?,,,nashkuru sana..

 
Duh hv madukanı hazpatıkanı kwelı?
Subirı wadau waje hapa,ıla mkuu hyo headıng yako ina walakinı.
 
Hiiv na hizi na zinakuwa imported kwa kutumia $$$$$. Itapendeza mwanateknolojia wa graphics atujuze
  • zinatengenzwaje?,
  • Kiasi gani skin moja inaweza kughaharimu kutengeneza.
ili badala kuagaiza vitu vidgo vidogo kama hivi kutoka china basi tukachachue wenyewe.
Ingawa sioni umuhimu wake naweza kushawishika kununua ikiwa ni imetengezwa na Mtanzania. Tutaendelea kuwa consumers hata wa bidhaa kama hizi !!!!!!!. Kazi tunayooooo......
 
nenda mlimani city pale phone one kama unataka kuingia shoprite
 
Duh hv madukanı hazpatıkanı kwelı?
Subirı wadau waje hapa,ıla mkuu hyo headıng yako ina walakinı.
asante mkuu nishabadilisha title heading, nimetembelea maduka ya mlimani city nikakuta skins za kawaida za nature na magari ila hizi za sports sikuona, Arusha nako madukani ni hvyo hvyo,,,ni nzuri kwaajili ya kuzuia scratches kwenye computer,,,
 
ni kweli mkuu, kwa jinsi ninavyozifahamu hizi skins ni kama sticker na sidhani zinahitaji teknolojia ya juu sana kuzitengeneza, wataalam wetu wa Graphics wangejikita kutengeneza design hii wangepata soko la kueleweka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…