Late period with ovulation

zen

Senior Member
Feb 6, 2016
106
94
Hali zenu wananchii...nlikuwa nauliza tokea nizae miezi sita sasa siku zangu hazipi sawa mara ziwahi mara zichelewe ..before last period nlipata tarehe 13 halafu nkija kupata 27 mwezi ulopita na jana ambayo ni tarehe 24 mume wangu alijisahau na kumwaga ndani ..je naweza kupata mimba ?au yai lazima lipevuke frm 11 to 17 tokea siku ya kwanza ya period haitegemei kama period itachelewa au la?asanteni
 
kwa nn mna mtoto mchanga alafu mnafanya ngono kwa nn msisubiri mtoto akue? malizen ata mwaka si bado unanukia maziwa sasa.. alafu ule uchafu haujaisha vzuri
 
Hali zenu wananchii...nlikuwa nauliza tokea nizae miezi sita sasa siku zangu hazipi sawa mara ziwahi mara zichelewe ..before last period nlipata tarehe 13 halafu nkija kupata 27 mwezi ulopita na jana ambayo ni tarehe 24 mume wangu alijisahau na kumwaga ndani ..je naweza kupata mimba ?au yai lazima lipevuke frm 11 to 17 tokea siku ya kwanza ya period haitegemei kama period itachelewa au la?asanteni
Kama tarehe 27 ndo ilikuwa siku ya kuanza period ina maana mpaka tarehe 7/03/2016 ilikuwa ni siku 10 za mwanzo za salama, kuanzia tarehe 8 mpaka 15 ndio zilikuwa siku hatari na hiyo tarehe 24 ilikuwa siku salama japo time yoyote kuanzia sasa utaingia katika siku zako, mana karibu itatimia mwezi tangu ubleed. kumbuka February ulikwua mwezi mfupi na pia kama unatumia vidonge vya uzazi wa mpango ni bora kuacha na kama hutumii jaribu kumuona dr. wa wanawake aweze kukufananulia vyema na kukwambia nini cha kufanya, ni vyemak utumia calender kuliko madawa ya uzazi wa mpango mana wengi baada ya kuacha wanakumbana na balaa kama hili. mana huo mzunguko siuelewi ni wa siku 14 au? muone dr. ni vyema Zaidi.
 
Back
Top Bottom