Bigsamkaty
Member
- Sep 27, 2016
- 7
- 6
Why DM, si uweke hapa anayetaka akipakue?Kitabu cha ajabu kinachoelezea matukio makuu ya ajabu yatakayotokea duniani kuelekea kufungwa kwa historia ya ulimwengu.
Ukikisoma hutabaki ulivyo....anayehitaji ani DM
Huhitaji kuniamini mimi...amini kilichoandikwa kwenye kitabu, mimi siyo mwandishi ila nilikifuma sehemu nikaona nisheewewe ni nani mpaka tukuamini??
Au anakiuza.Why DM, si uweke hapa anayetaka akipakue?
Ni free, sema nashindwa ku upload hapa kwenye uzi...Au anakiuza.
Ni free, sema nashindwa ku upload hapa kwenye uzi...
PoaNi free, sema nashindwa ku upload hapa kwenye uzi...
NishakutumiaNitumie PM
Nishakutumia
Ndiyo ninacho mkuumkuu vipi bado unacho hiki kitabu?
Weka hapa nasie tukipakue tusomeHuhitaji kuniamini mimi...amini kilichoandikwa kwenye kitabu, mimi siyo mwandishi ila nilikifuma sehemu nikaona nishee
KabisaWeka hapa nasie tukipakue tusome
Mkuuu
Saa kushare Mkuu si ungekiweka hapa boss?Huhitaji kuniamini mimi...amini kilichoandikwa kwenye kitabu, mimi siyo mwandishi ila nilikifuma sehemu nikaona nishee
Mkuu, watu wameanza kusema Dunia inaisha miaka 6000 iliyopitaHuhitaji kuniamini mimi...amini kilichoandikwa kwenye kitabu, mimi siyo mwandishi ila nilikifuma sehemu nikaona nishee