Laptop

Laptop

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Jamani naombeni mnishauri, laptop yangu toka juzi imekua inasumbua sana, inakua ina load mda mrefu sana na nikifungua mozila firefox inaniambia not responding, nini tatizo jamani?
 
Ume install anti-virus? Kama bado itakuwa na virus, Hard disk imejaa.
 
Punguza data kwenye drive ambayo windows inakaa na kama kuna data nyingi kwenye desktop au my document ondoa huko weka kwenye partition nyingine huko...kitu kitakua ok otherwise ni mambo ya virus and anti virus.....
 
M'barikiwe mliomjibu lakini híi too much hadi vitu kama hivyo kuhitaji kupeleka kwa fundi vinaletwa humu ? Hata kutibiwa tutaka kutibiwa humu jf
 
M'barikiwe mliomjibu lakini híi too much hadi vitu kama hivyo kuhitaji kupeleka kwa fundi vinaletwa humu ? Hata kutibiwa tutaka kutibiwa humu jf

Ipelekwe kwa fundi kwani hiyo laptop ni mbovu?
 
M'barikiwe mliomjibu lakini híi too much hadi vitu kama hivyo kuhitaji kupeleka kwa fundi vinaletwa humu ? Hata kutibiwa tutaka kutibiwa humu jf
sasa kazi ya jf ni nini? yaani wewe una gubu kwelikweli....hujaulizwa wewe then watu wamemsaidia wewe unatoka mapovu....shame to you
 
Huu ndiyo uungwana tulioachiwa na Mwalimu Nyerere wa kusaidiana kwa kila jambo llinalokukwaza.Mungu amulaze mahali pema peponi.
 
Jaribu kufanya disk defragmentation na pia fanya disk clean up,na kama una NORTON ANTIVIRUS itoe kabisa kwenye system yako..na mwisho hakikisha driver zote unazotumia ziko up to date.
 
Back
Top Bottom