HP kaka asikwambie mtu ,unaweza ukaibeba hata kwenye trekta wakati ukilima na itakuwa imara,lakini pia inategemea na utumiaji wako,sema tatizo brand zingine hazina spare zikiharibika inakuwa taabu kupata spare zake,kwa mfano kamakompyuta za kampuni ya apple pamoja na uzuri wake zikiharibika kwa hapa Bongo inakuwa ndio kwishney la sivyo uwe na pochi nene,kwani vifaa vyake ni aghali na upatikanaji wake nao ni shida