Laptop za bei nzuri

Laptop za bei nzuri

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Ni laptop hp probook 6360b.
500Gb, 4Gb ram, i5.
Bei 575, 000/=
Laptop zimebaki 7
Contact 0779420000
 

Attachments

  • 1414526199851.jpg
    1414526199851.jpg
    28.9 KB · Views: 239
Dar kariakoo na kinondoni. Ni used ambazo zimerejeshwa kiwandani.
 
hapa mtwara jana wamenilangua kwa laki sita unusu, lakini ziko vizuri
 
Baada ya kampuni flani kule canada kuzichoka laptop zote wanazirejesha kiwandani then wanaongeza hela wanapewa latest and new . Baadae kiwanda zinafanya repairs then africa tunapewa as new
 
Sio mbaya ndio watu wengi wa mkoa wanakuja kwangu kuchukuwa then wwanaongeza faida kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom