Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Nina Laptop aina ya HP 630 kila nikiiwasha nikiitumia kwa saa moja inazima na kila ninapowasha inaniandikia your WINDOW IS NOT GENUINE office ninayotumia ni ms 2013.je tatizo ni nini?
Nina Laptop aina ya HP 630 kila nikiiwasha nikiitumia kwa saa moja inazima na kila ninapowasha inaniandikia your WINDOW IS NOT GENUINE office ninayotumia ni ms 2013.je tatizo ni nini?
Window 7 enterpriseUnatumia windows gani? Pamoja na mambo mengine ambayo nahisi yatakuwa ni ya ki-hardware zaidi lakini pia windows unayotumia haikuwa activated au uli-activate na fake serials ndiyo maana microsoft wamei-detect kama siyo genuine na hivyo wataendelea kukusumbuwa na pengine hata kukutupia virusi.
Taja aina ya windows unayotumia kabla sijakushauri ukamuone fundi.
Window 7 enterprise