Naomba msaada wa laptop yangu ambayo huwa naifungua kwa password. Ghafla password niliyokuwa nukiitumia haikubali. Niliyokwisha fanya ni yafuatayo:
1. Nimehakikisha capslock iko sawa ili nisije nikawa ninaandika herufi kubwa. imeshindikana.
2. nimetoa battery usiku mzima. nikarudisha tena lakini imegoma.
3. Inanitaka kureset password lakini niwe na flash na nimefanya ila haikuwezekana.
Naomba mnishauri la kufanya niweze kufungua laptop yangu.