SAIDI NGOTEYEGA
Member
- Mar 8, 2014
- 5
- 2
Wadau naombeni msaada nina laptop yangu aina ya DELL. LATITUDE D 620.nikiwasha bila ya kupachika chaja inawaka vizuri tu lakini nikipachika chaja hiyohiyo inazima hata ikiwa imewaka nikiweka chaja inajizima naombeni msaada wenu wadau