Wakuu habari zenu, natumainia kuwa mko vizuri na wenye afya dhoofu Mwenyezimungu awafanyie wepesi pia.
Moja kwa moja, Pc yangu ina shida ya internet yani haiwezi ku-connect wireless internet labda nitumie Ethernet, na sababu kuu inaniambia ya kuwa cellular radio iko off.
Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kutatua changamoto hii anisaidie.
Naomba kuwasilisha Wakuu