Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,024
- 2,455
hapana mkuu ila nkichomeka chaja inawaka taa ya power na ya chargingUkiwasha unasikia sauti ? Yaani cpu inafanya kazi ?
Kama ni hivo tuwasubiri wataalamu,,sijawahi ona hilo tatizohapana mkuu ila nkichomeka chaja inawaka taa ya power na ya charging
sawa mkuu ngoja niwekeSubiri kwanza iache kwenye chaji kama ndani ya robo saa, then ndio ujaribu kuiwasha, huwa tunajisahau vifaa vingi vya electronics vinavyotumia battery huwa vina kawaida ya kujinyonya
Tunafanyaje kuepukana na hili?.Subiri kwanza iache kwenye chaji kama ndani ya robo saa, then ndio ujaribu kuiwasha, huwa tunajisahau vifaa vingi vya electronics vinavyotumia battery huwa vina kawaida ya kujinyonya
nmefanya hvo zaid ya mara 7Press power button for 30 sec
Mkuu salama ? tatizo liliisha ? ilikuwa ni nini chanzo chake ?habarini wakuu
nina laptop aina ya advent nlkua naitumia vzur lakn nkasafiri kama wiki hiv narud nakuta haiwaki ila inaonesha inaingiza chaji.
nahitaji ushaur wenu nfanyaje au tatizo ni nini.
hapana mkuu bdo nmeiweka tu haijawakaMkuu salama ? tatizo liliisha ? ilikuwa ni nini chanzo chake ?