Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Ngoja niweke chief halafu nikuonyesheIngia bios eka secure boot na legacy viwe pamoja.
Then Angalia kama hdd yako ni gpt, kama sio convert mbr kwenda gpt, kuna njia kibao zina convert bila ku loose data.
Acha bhana hahahaIkishasupport window 11 utakuja hapa kulia kuwa window updates inakula 3GB kwa siku![emoji124][emoji124][emoji124]
Halafu ni kazi sana kuzuia automatic window updates isile bando.Utaambiwa kuwa zima window automatic updates lakini nakuhakikishia kuwa haitafua dafu.Mimi nilipata taabu sana hadi nikaamua kutumia siku nzima google ndiyo pona yangu ikawa hapo.Window automatic updates huwa inakula bando la internet siyo chini ya 3GB kwa siku.Ni kilio kikubwa sana kwa masikini.Acha bhana hahaha
Ukiwa na windows latest huwa haili sana, maybe Mara 1 Kwa mwezi na unaweza ukaipause siku 7 ama mwaka kutegemea na windows.Halafu ni kazi sana kuzuia automatic window updates isile bando.Utaambiwa kuwa zima window automatic updates lakini nakuhakikishia kuwa haitafua dafu.Mimi nilipata taabu sana hadi nikaamua kutumia siku nzima google ndiyo pona yangu ikawa hapo.Window automatic updates huwa inakula bando la internet siyo chini ya 3GB kwa siku.Ni kilio kikubwa sana kwa masikini.
Hawajakukatalia hapo wamekuonya tu, endelea get started.habari za muda huu nimerudi tena ndugu zangu baada ya kuangaika nayo zaidi ya masaa sasa kwanini bado wanakata mm kupata update kwenye hii ya generation ya 6 wakati kila kitu nimefanya au za gen ya 6 hazikubalki RETROJAY Chief-Mkwawa
View attachment 1893455
View attachment 1893459
View attachment 1893460
View attachment 1893461
View attachment 1893462
Nijisajili kama dev au cyo??Hawajakukatalia hapo wamekuonya tu, endelea get started.
Kama unatumia mambo muhimu beta, kama hujali bugs tumia devNijisajili kama dev au cyo??
Mzigo umegoma kuja bhanaKama unatumia mambo muhimu beta, kama hujali bugs tumia dev
Kama umeshaset insider Angalia update manual itakuja.Mzigo umegoma kuja bhana
Tatzo nikipojeza hiyo update inasema error ngoja nikutumie picha uoneKama umeshaset insider Angalia update manual itakuja.
RebootTatzo nikipojeza hiyo update inasema error ngoja nikutumie picha uone