Laptop ya Dell unaweza kuiwekea window camera?

Laptop ya Dell unaweza kuiwekea window camera?

napenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
485
Reaction score
91
Napenda kufahamu kama laptop ya Dell unaweza kuiwekea window camera na ikapiga picha au kuchukua video, mtaalam anijuze tafadhali..
 
Inawezekana ila binafsi sijaelewa hiyo Window camera unamanisha nn?
 
Inawezekana ila binafsi sijaelewa hiyo Window camera unamanisha nn?

Kuna laptop kama apple huwa zinauwezo wa kupiga picha, sasa ndo nauliza dell unaweza iwekea program hiyo?
 
Duh hili swali limenifanya nicheke tu mana inaelekea muulizaji hata hajui anachokitaka hasa, au uelewa wake uko tofauti na vitu avitumiavyo
 
hapo ishu sio window bali kitu cha kwanza ni kuangalia hy laptop yako kama ina web camera ksha unaweza kudownload cybercamera then utainstall na inaweza kufanya kazi unayoihitaji
 
Kama ni pc ya kisasa yenye webcam download na ku-install cyberlink youcam au webcam max.
Na kama pc yako haina webcam nenda maduka ya vifaa vya computer ununue external webcam ambayo inakuwa kama hii.
webcam.png

unaconnect kwenye pc yako via Usb then fanya utaratibu wa hapo juu utaweza kuchukua picha za mnato na video
 
weka picha ya laptop yako hapa . ipige kwa mbele tukusaidie kuona kama ina kamera
 
Back
Top Bottom