ukiTether internet ya simu yako kwenye computer ulaji wa MB utakuwa ni sawa sawa na kama ukiamua kuitoa line kwenye simu then ukaiweka kwenye modem then utumie modem kwenye computer. Browser ya computer itaLoad pages kwa volume ile ile ya data haijalishi unatumia modem au simu kuipa intenet. ukiSurf internet kwenye simu directly, mb zinazolika zitakuwa ni chache kuliko unavyotumia computer hii ni kwasababu browser za simu zinawezakuwa na vitu vichache vya kuLoad ukilinganisha na browser ya computer. na pia kwenye simu unaweza kuchagua kuBrowse pages as a mobile site au desktop site.Nimeambiwa kuwa naweza kutumia simu kama moderm ya laptop aidha kwa Bluetooth, WI-FI au USB tethering.
Swali langu ni kuhusu ulaji wa MB's zangu.
Je ninapotumia laptop zitaisha haraka zaidi ya kuzitumia kawaida kwenye simu?(assuming sites zinazokuwa visited ni zilezile)
Naomba nisaidiwe.
ha ha ha ha snipa bwana!!kwani ujumbe usingejitosheleza bila kuse ulipotoa sudan te te te te!!...Nilipo toka sudan nili ludi na MCEL modem ambayo naifaidi mpaka sasa mb natumia za kawaida ...
.
In general kiukweli siwezi ku confirm kip ni bora