Mkuu swali lako lipo open mno, jaribu kuwa specific unahitaji kwa matumizi gani, bajeti yako inarange kwenye sh ngapi nk.
Kwasababu ukisema tu laptop ya kisasa nzuri utatajiwa mac book hadi m3 na kuendelea

Nadhani specifications zitakusumbua kama sio mjuzi sana wa terminologies.
Ningekushauri utafute yenye Intel Core i3 au i5 na Windows 7 itakuwa imekamilisha kila kitu under the hood na mara nyingi huwa zina vibandiko -label -kabisa
kama used unaweza kupata dell au hp ya,
2ghz proc. Dualcore
160gb hdd
1gb ram
dvd writer.
tembelea maduka ya used computer mjini na kwa matumizi yako hiyo inafaa.