Weka bidhaa zako zote hapa jukwaani, pamoja na bei. Na utuambie ofisi yako iko wapi. Huu utaratibu wa kutaka kupigiwa simu na kila mtu ili kukuulizia bei ya hizo bidhaa zako, unachosha.