Kwa mwendo huu tutafika kwenye uchumi wa kati kweli?
Mizigo imepungua bandarini, hotel zinauzwa, ajira zimesitishwa, hakuna kupandishwa cheo. yaan ni tabu tupu.
Sijui ndiyo mwaka wa shetani huu. Au ndiyo pesa bado zimefichwa? Ngoja tuone.
Mkuu ningenunua lkn ndiyo ajira zimesitishwa, sina mpunga