Kanungila Karim JF-Expert Member Apr 29, 2016 20,743 25,550 May 15, 2016 #1 kwa wakazi wa Dar Es Salaam naomba mnitajie ni duka gani linauza laptop imara au kompyuta za bei ya chini isizidi 300,000/=
kwa wakazi wa Dar Es Salaam naomba mnitajie ni duka gani linauza laptop imara au kompyuta za bei ya chini isizidi 300,000/=
marandu2010 JF-Expert Member Aug 7, 2010 1,201 446 May 15, 2016 #2 unahitaji kompyuta yenye sifa zipi mkuu?