Maseke ya Meme
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 695
- 914
Kuna 500,000 ya haraka hapa, njoo pm unipe number
Mkuu, kuna ubaya kufanya negotiation? Vitu vya online na used havina guarantee ila kwa specs nimeipendaWe 1701 so angetaka kuuza 850k angeanza na 1.2m c ndio?
Kuna 500,000 ya haraka hapa, njoo pm unipe number
Mimi nina 800,000!Kuna 500,000 ya haraka hapa, njoo pm unipe number
Mimi nina 800,000!
Hii Mashine ni ziko poa Sana. Acheni hizo Bei reasonable sanaaa
Fanya biashara na 1701 hapo juu!Ongeza 20 tufanye biashara kiongozi
Fanya biashara na 1701 hapo juu!
Sasa mkuu mimi kukuonyesha mteja ni mzahaa??!Poa kumbe unafanya mzaha na biashara za watu!
Mpunga upi wa mchele auDaaaah shida sina mpunga
Namaanisha farangaMpunga upi wa mchele au