Kuna 500,000 ya haraka hapa, njoo pm unipe number
Mkuu, kuna ubaya kufanya negotiation? Vitu vya online na used havina guarantee ila kwa specs nimeipendaWe 1701 so angetaka kuuza 850k angeanza na 1.2m c ndio?
Sasa mkuu mimi kukuonyesha mteja ni mzahaa??!Poa kumbe unafanya mzaha na biashara za watu!



Mpunga upi wa mchele auDaaaah shida sina mpunga
Namaanisha farangaMpunga upi wa mchele au