black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Ninayo mac book second hand nauza kwa 1m.Mkuu hiyo mac book gani ya 1.3 au unazungumzia dola sio Tsh? Kwa bei hiyo ni chinese black market sio original. Kwa del latitude aliyoitaja hiyo bei ndio sahihi semanayeye tatizo lake secondhand product anataka kuuza kama brand new product.
Specs zake:
Unatambuaje ya kichina?Mkuu hiyo mac book gani ya 1.3 au unazungumzia dola sio Tsh? Kwa bei hiyo ni chinese black market sio original. Kwa del latitude aliyoitaja hiyo bei ndio sahihi semanayeye tatizo lake secondhand product anataka kuuza kama brand new product.
Bei iko fixed mwana... 700k nikupe latitude E7250 intel inside i5..mkuu nina laki 7 ni PM tufanye biashara
Ni air, ram 4gb na hard disk 320gb.Specs zake:
Ram, hard disc, cpu, generation ya ngapi?
Ni air au pro?
Hapana.... ni baba yake.Wewe ndio uttoh2002 ???
Nishamstukia huyo jamaa anayevamia thread za watu, atakuwa kibaka sio bure!Angalieni tu msije kuanza kuiibiana, Mungu hapendi.