kula jero....kwa anayehitaji laptop kali na ya kisasa tuwasiliane kupitia no 0715-546818 , laptop ipo katika hali nzur sana haina hata mchubuko , ni lenovo, core i7, ram 8gb, hard disk 500 gb, bei ni tsh 600000 haipungui!
Sasa kama ni kali inaweza kuwa inapiga na kuuma watu ndio maana jamaa naiuza na itafaa kwa ulinzi
SONY Xperia Z5 Premium

Mkuu, umeona hilo tangazo ni la lini?? Labda bado anayo.Nataka pc lkn ungeiweka apa niione..au alietumiwa pic atutumie apa
Dah sikuona sidhani kama bado ipo aiseeeMkuu, umeona hilo tangazo ni la lini?? Labda bado anayo.