Mkuu unauhakika?Zinauzwa laki hizo, nenda kariakoo uone
Uko wapiNauza laptop Dell latitude D620, HDD 160 GB, RAM 2GB, haina shida yoyote ni mpya kabisa bei ni 230,000 maelewano yapo, wale wa Mwanza au jirani wani-PM tafadhali.
Tupia no npo mwanza 0758323543Nauza laptop Dell latitude D620, HDD 160 GB, RAM 2GB, haina shida yoyote ni mpya kabisa bei ni 230,000 maelewano yapo, wale wa Mwanza au jirani wani-PM tafadhali.