Laptop inauzwa

Laptop inauzwa

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Samsung mini laptop. Ram 2gb, processor 1.6, hdd 320gb, ina webcam. Bei 420,000TZS contact
 
Samsung mini laptop. Ram 2gb, processor 1.6, hdd 320gb, ina webcam. Bei 420,000TZS contact:0682 814 032.
kwa bei hyo sidhani, maana kuna watu humu wanauza i3 na i5 kwa bei km hyo na hawapat wanunuzi,
 
kwa bei hyo sidhani, maana kuna watu humu wanauza i3 na i5 kwa bei km hyo na hawapat wanunuzi,

Aisee Google bei ni guide na kuna kuelewana so nisipoweka guide hata mwenye laki moja atanitafuta
 
must be kidding.
Hp Dual core
RAM 4gb
hdd 320 GB
with 2.3 GHZ
16 Inches screen
Going for 390,000/=
wewe MINI unauza 420,000 kaaaah
 
must be kidding.
Hp Dual core
RAM 4gb
hdd 320 GB
with 2.3 GHZ
16 Inches screen
Going for 390,000/=
wewe MINI unauza 420,000 kaaaah

Siuzi chinese laptop guys, any body interested can buy it if you are not interested just scroll the page.
 
Siku hizi brand new hyo Samsung ni 350,000 tzs

Ni kweli maharage mabovu hujulikana kwa kuelea juu ya maji so mpishi anapokua anaandaa maharage kwa ajili ya kutaka kuyapika hana haja ya kuanza kuchambua mabovu njia rahisi ni kuyaloweka then yale yote yaliyomabovu huelea juu.
 
we muuzaji kuwa muelewa acha ubishi, hiyo bei unayouza ilitumika miaka 3 iliyopita sio leo hii, labda upate wa kumpiga ndo atanunua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom