Laptop inauzwa bei sawa na bure

Laptop inauzwa bei sawa na bure

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
481
wana jf nina laptop yangu aina ya Toshiba,RAM 2 GB,hard disc 160 GB ila betri haitunzi moto kwa muda mrefu,bei yake laki mbili na nusu.Kwa anaye hitaji aniPM au nipigie simu no 0764 810815,nipo Dar.
 
Hiyo bei sawa na bure pia inakuwaga na kiwango.
Ndo bei gani hiyo?
Hakuna picha hakuna biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom