Laptop inauzwa 250,000/=

Laptop inauzwa 250,000/=

Joined
Oct 10, 2017
Posts
62
Reaction score
10
Kama kawaida, tumedondosha tena mzigo wa kutosha,
Kwa tsh 250,000/= tu jipatie laptop yako kati ya hizi.
Zipo min hp, min dell, min sumsung, min toshiba na min lenovo, pia tuna dell latitude D 620 na laptop nyingine nyingi.
Popote ulipo ndani ya tanzania, huduma zetu zitakufikia.
Nichek kwa 0623554361 kwa maelezo zaidi.
KARIBUNI
1512215321922.jpeg
1512214571137.jpeg
1512215051251.jpeg
1512215621437.jpeg
IMG_20171211_185838.jpeg
IMG_20171211_185844.jpeg
IMG_20171211_185902.jpeg
 
Kama kawaida, tumedondosha tena mzigo wa kutosha,
Kwa tsh 250,000/= tu jipatie laptop yako kati ya hizi.
Zipo min hp, min dell, min sumsung, min toshiba na min lenovo, pia tuna dell latitude D 620 na laptop nyingine nyingi.
Popote ulipo ndani ya tanzania, huduma zetu zitakufikia.
Nichek kwa 0623554361 kwa maelezo zaidi.
KARIBUNI
View attachment 655898View attachment 655899View attachment 655900View attachment 655902View attachment 655903View attachment 655904View attachment 655905
Unapatikana wapi? Mikoani je mtu akihitaji
 
Mkuu vipi kuhusu utapeli siku hizi tunaogopa sana sijui nifanye je napenda rangi ya papo au orange.
 
Mkuu vipi kuhusu utapeli siku hizi tunaogopa sana sijui nifanye je napenda rangi ya papo au orange.
Mkuu, sisi sio matapeli, kuna watu kadhaa na tumewahudumia wamo humu ni mashahidi wazuri, lakini kama unaogopa hilo na upo mbali, waweza kumtuma mtu, jamaa au rafiki, ukampa pesa zako, ukamuonesha chaguo lako, kisha sisi tutakutana naye, tutamkabidhi mzigo wako na yeye atatupa pesa, wala hakutakuwa na shida
 
Hard disk ndogo sana kiasi kwamba hazifai kwa kazi nyingi
 
Back
Top Bottom