Laptop inauzwa 220,000/=

Tangazo lako linaonesha Battery inakaa 30 minutes, halafu unadai ina umuhimu unapokuwa nje ya ofisi!!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ you can't be serious!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona mna Mbagaza muuza laptop!

Ila mkuu tuongee ukweli hiyo laptop hapana aisee nakumbuka kipindi hicho chuo watu ndo walikuwa wanawapiga first year!
 
ha ha ha ha yaani bro kama una mtotot mpe ya mazoezi tu hiyo kwakweli
yaani hapo hataa hauwezi uza hapa
labda urudi kijijini tu aiseeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…