Mkuu kwa kiasi chako ulichoweka hapo sidhani kama utaweza kupata laptop ambayo ni nzima na yauhakika , ila nachokuomba kama utaweza kuongeza tsh 35000, naweza nikakuuzia laptop yangu acer aspire 5532 ambayo ni used lakini ipo vizuri sana na haijatumika sana, kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0752490238