teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Kama nilivyoseMa hapo juu nina laptop aina ya Microsoft surfaceGo ina windows 10, ninapotaka kuiNgia kwenye mtandao huwa natumia WIFI au USB TITHERING kuunganisha network toka kwenye simu. Lahaula jana nimeNunua gb 1 ndani ya dk 20 zikawa zimebaki mb 480. Sasa nifanyeje kuzuia au kupunguza ulaji?

