Unahitaji kwa ajili ya matumizi gani?pls jaman kwa anaeuza laptop aina ya dell au hp au aina nyengine iwe na hdd 500 gb na kuendelea ram 4gb nakuendelea iwe na speed nzuri na betri zuri isiwe imechoka sana. Nipo dsm makumbsho. natanguliza shkran.
Nb bei isizid lak 5.5.. No za cm 0753118621.