Laptop inahitajika

Laptop inahitajika

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
188
Reaction score
154
Nahitaji laptop used anae uza awe anaiuza kwa lengo la kutaka pesa atatulie shida inayo mkabili
 
Shida yangu ni laptop nzuri kwa bei nafuu
ungesema hivyo sio kuanza kubagua wauzaji. sijui awe ana shida. sasa wewe shida yake inakujaje kwenye mauziano.

hujasema uwezo wa laptop uitakayo lakini.

ila me siuzi laptop ngoja waje.
 
Bei nafuu shingapi sasa kama laki tatu nakueendelea hata kariako mpya kwenye maduka ya wahindi unapata ambayo hajachachuliwa kabisa acha na used hakuan used laptop nzima unaweza kukuta inatatizo la battery haotunzi chaji au wire kupelaka chaji unazungua
 
Poa sana mkuu kariakoo mtaa gani ila nina laki tatu kushuka chini naweza kupata kama kwa laki 2 na 70 hivi?
 
Kuna jamaa wanalala rumande leo kwa biashara ya kuuziana laptop used kumbe ilikuwa ni ya wizi, nakupa tahadhari kuwa makini sana ndugu
 
Back
Top Bottom