Laptop inahitajika

Laptop inahitajika

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
Nahitaji brand new laptop.
napendelea sana HP Nyeupe.
specifications

1. Internal memory ya 500GB hard disk
2. Ram ya 16GB ama 32GB
3. Core i 7
4. Graphic card
5. Touch screen

Na mengine ambayo siyajui maake sio mtaalamu sana najua basic zake.

Kikubwa ninamatumizi makubwa so I need a machine.

WhatsAp mi 0627911500
 
Wewe unaduka ama ni dalali?
 
Wewe unaduka ama ni dalali?
Wewe unataka kununua duka ama laptop?
Kama unataka duka c ungeyafuata Kariakoo? Mbona yamejaa? aagrr mnakuja tu huku kutusumbua wana JF kumbe maduka mnayajua.
Mods, ondoeni huu usenge! Nshachefukwa mimi.
 
Back
Top Bottom