willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,326
Ram 4 GB mbona bei sana kwa arusha tunapata kwa 50000
Ndio mkuu nilimaanisha laptop yangu aina ya acer aspire imeungua power supplyHizi si ni laptop mkuu, kama ni laptop na unahitaji ile charger yake(adapter) zipo.
Kama ulimaanisha tofauti unaweza nielekeza mkuu.
ofisi wapi mkuuAcer Aspire Model gani kama ni E15 series inapatikana.
0684141476
mkuu ni aspire 1-571Acer Aspire Model gani kama ni E15 series inapatikana.
0684141476