Laptop hitaji muhimu sana

Laptop hitaji muhimu sana

Ellon

Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
80
Reaction score
125
Laptop au wanapenda kuita Personal Computer(PC), ni kifaa muhimu sana kuwa nacho hasa kwa kijana wa sasa anayekwenda na kasi ya Dunia katika nyanja mbalimbali za maisha.

Wengi wetu hatumiliki PC kwasababu ya kiuchumi tu ila ni muhimu sana, binafsi naona napungukiwa sana kutokuwa na PC hususani kukwama katika baadhi ya mambo yangu.
 
Laptop au wanapenda kuita Personal Computer (PC), ni kifaa muhimu sana kuwanacho hasa kwa kijana wa sasa anayekwenda na kasi ya Dunia katika nyanja mbalimbali za maisha.

Wengi wetu hatumiliki PC kwasababu ya kiuchumi tu ila ni muhimu sana, binafsi naona napungukiwa sana kutokuwa na PC hususani kukwama katika baadhi ya mambo yangu.
Laptop ndicho kifaa muhimu kwangu kikifuatiwa na simu ya rununu
 
Laptop (PC) Ni kwa ajili ya contents Creating mfano natumia sophisticated PC kwa ajili ya software Kama Final cut pro kwa ajili ya editing sababu Dunia ya Sasa Ni ya creators then wenye smartphone ndio wanakuwa users customers. Pia natumia PC kwa ajili ya coding na Graphics Designing which in turn napata pesa kuendeshea maisha kwa kitu ambacho nafanya Kama leisure tu.

Laptop Ni muhimu kwa sababu kwa kizazi hiki Ni vyema ukajua hata kuedit video yako katika semi professional hata ili uweke YouTube ujaribu bahati yako. You never know!

The future is belong to the Creators and not users.
 
Video editing mbona hata smartphone inatosha
 
Back
Top Bottom