Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 698
Wasalam ndugu wana bodi,
Natumai miongoni mwetu humu ndani wako wabobezi wengi sana wa maswala ya mifumo ya computer.
Hivyo basi naomba kuwasilisha tatizo langua kwenu wataalam Wa maswala haya nikitegemea msaada wenu wa ushauri na hata utatuzi.
Ni kama miezi miwili sasa machine yangu (laptop) haingizi chaji wala kuwaka kabisaa,adapter yake iko njema.....nimekwama kujua tatizo ni nini hasa.....machine ni aina ya HP 630.
Kama kuna Fundi au mtaalam yoyote yule miongoni mwenu ambaye ataweza nitatulia tatizo hili,Tafadhali naomba kupitia uzi huu nijulishe nami nitashukuru sana.
Ahsante sana kwa ushauri na michango yenu kwa hili.