Laptop for Sale at Reasonable Price

Laptop for Sale at Reasonable Price

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,743
Hp probook 6560b i5, 2.5ghz 320gb, 1600mb intel hd graphic card price tshs 530000
attachment.php
 

Attachments

  • lap.jpg
    lap.jpg
    42.8 KB · Views: 233
nahitaji laptop....ni mpya hiyo? Au used?

used nimeitumia kwa miezi 4 otherwise ningekuwa sijaitumia ningeiuza laki 7 and above mkuu. lakini haina hata scratches wala tatizo betri bado safi kabisa
 
Mpya/imetumika?

Inatunza chaji kwa muda gani?

Ina uwezo gani(Ram, Processor, HDD etc)?
 
Mpya/imetumika?

Inatunza chaji kwa muda gani?

Ina uwezo gani(Ram, Processor, HDD etc)?

mkuu inaelekea unesoma kichwa cha habari maana yote nimeshaelezea hapo juu, ni hp 6560b core i5, 2.5 ghz, ram 4gb, 320 gb of hdd, charge inakaa masaa 4- 5 kwa matumizi ya kawaida kama kuchapa na kwa kuangalia movie unaweza angalia movie 2 bila kuichaj lakini hii ina depend na urefu wa movie yenyewe. nimeitumia miez 4
 
Vp speaker zake hazisumbui maana......mh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom