Laptop yangu ina tatizo....
Ninapoweka kwenye umeme na kuiwasha inafanya kazi kwa muda fulani huku battery ikiwa inacharge kama kawaida lakini ghafla huwa inaacha kucharge kuwa inarun on battery mpaka inazimika kabisa. Nimejaribu kubadilisha battery na kuweka mpya lakini tatizo hili bado linaendelea. Mnaweza kunisaidia utaalamu kujua tatizo litakuwa ni nini?
Natanguliza shukrani!