unakumbuka lile neno siri uliloeka kwenye avast? lipige kama namba ya simu halafu itakuja menu ya siri. kuhusu laptop ulifanya nini hadi ikafanya hivyo?
Zile no nazikumbuka kabisa sema hata nikipiga haiji ile menu koz niliuninstall avast pamoja na folders zake..sema ndo hivo nikichange line zingine hazisomi
kwanini usirudishe tena avast na wifi halafu utumie hilo neno la siri kuitoa?
Niliwaza hivyo lakini hata kuleta SMS kwenye no ya recovery haileti naona kama inazingua. So mfano nikiweka ROM nyingine nibadili na SD card bado haitasaidia???? Njunwa Wamavoko aliwahi sema something like that.
Let me try hio yako kwanza.
avast anti-theft utaiondoa iwapo uta uninstall manually kwa kuweka neno siri
Pili,ukiweka Custom ROM ndo dawa yake hiyo utakua umefutilia mbali...
Kama unaitafuta hii APK kwa file explorer lazima ukumbuke jina uloipatia kipindi una install sababu uwa inakupa option hiyo haitaki ibaki na jina la anti-theft ili mtu asiijue,hivo ukupa majina kama system update,system update etc hivo kama ukumbuki real name nafikiri njia ni kuweka custom ROM...
But am wondering kwa nn hii itokeee?
Yaani niliiweka ktk jina la gift card ili ijifiche then nikaweka pin ambazo nazikumbuka kisha nikaweka recovery phone no ila haifanyi kazi nikiweka line ingine.
Badilisha Laptop screen Inverter,especially kama ilikua ina dim ukizungusha upper part of your laptop .
If Not , your tft /lcd screen could be dead.:-(