Muonekano wake mbaya sana hii itaniogopesha uck na kwa vile nalala peke yangu,,,!
Specification:
Hard Drive: 250GB
Ram: 2GB
Processor: 2.20 GHz Dual Core
DVD writter 8x speed
5 in 1 card reader
Webcam 1.3 megapixel
15.6 inch lcd
4 hours battery life
Bei ni TZS 350,000/= tu
Nipigie: 0655003510 na nipo Dar
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Specification:
Hard Drive: 250GB
Ram: 2GB
Processor: 2.20 GHz Dual Core
DVD writter 8x speed
5 in 1 card reader
Webcam 1.3 megapixel
15.6 inch lcd
4 hours battery life
Najua ww sio mnunuzi, wanunuzi wa kweli washapiga simu. Ko hata hizo picha nikikuwekea hazitakusaidia kitu! Asante kwa kupita hata ivo.
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Mkuu, ni mpya au used/ If used for how long. Kwa nini unaiuza (Unaweza kudhani siyo muhimu, lakini ni vizuri nikajua kama unaiuza kwa kuwa ina tatizo au ndo biashara n.k). KAMA ni used na haina tatizo, njoo nayo DIT uchukue sh. 280,000
Okay. vizuri kaka. ngoja nidundulize tena. Kama bado itakuwepo nadhani jmosi nitakuwa na hela. Nimeipenda sana hii laptopNi imported toka nje kaka, kwa hapa haijatumika kabisa. Na kuhusu sababu ya kuiuza jpili nasafiri kwenda kuchukua mizigo mingine na inabd niuze mzigo wote ili niondoke. Haina tatizo lolote lile! Bei ndo hiyo kaka, samahan sintoweza chukua ofa yako! Uko chini sana
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Kuandika hii comment tu umetumia simu ya wazazi wako au computer ya rafiki yako. Ko mm na ww hatuendan' endelea kuomba hela kwa baba na mama me napiga maisha. We uwe unakuja kwenye post z watu unapiga porojo huku ukisubiri kutengewa ugali wa bure ule.
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
We kula kulala u got nothing on me bro. Get lost!
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
hapo ndo naona umeshajitaja......... kama ushapata mnunuzi sasa kwa nini bado waipigia debe? tangazo lenyewe hujalipia halafu una mdomo kama shori
Kumbe na ww umemuona!! Hizi emachine mbovu kinyama afu spare zake adimu!! Naamini hawezi kuiuza kwa hiyo bei! Nmempigia kwa kumkejeli amefikikir amepata mnunuzi!! Nakutania jombah sinunui huo uchafu!
halafu eti anazuga kuwa anataka kuiuza ili aende nje akachukue nyingine... hahahahahaha hawa machalii waliookoteza zero form four wana vituko sana yaani.... kilaptop chenyewe kibovu ndio maana hata hawezi kuweka picha humu