M majid musisi Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 184 Reaction score 36 May 9, 2013 #1 Habari zenu wadau wa jamvi hili, Nataka kununua Laptop acer aspire 5733 mpya kwa yeyote mwenye uzoefu nayo au anatumia sasa hivi naomba anijuze tafadhali ili nisiingie chaka. Natanguliza shukrani.
Habari zenu wadau wa jamvi hili, Nataka kununua Laptop acer aspire 5733 mpya kwa yeyote mwenye uzoefu nayo au anatumia sasa hivi naomba anijuze tafadhali ili nisiingie chaka. Natanguliza shukrani.