Janerose mzalendo sidhani ushakuwa hapa kwa uzi ulianzishwa na Geza Ulole 6years ago kuidhalilisha Lamu Port. kuna nyingine kaanzisha Lamu vs Bagamoyo ila Baada ya Bagamoyo kufeli uzi ukapotea 😀😀😀😀
Karibu kuchangia maendeleo ya Lamu Port.
Geza - natumai bandari ya bagamoyo itakuwa kubwa kuliko ya mtwara sio?
Halafu, pengine zile bandari anasema watazipiga marufuku, wanaweza hata kuzifanya za utalii kama vile small cruise ships can dock there and tour the local areas. Nadhani hiyo pia itasaidia kwa mapato ya wakazi wa pale.