Lapf-dodoma

tricky

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
108
Reaction score
32
nimeitwa kwenye interview lapf-dodoma kwa post ya information system audit,so msaada kwa ambaye alishafanya interview lapf,aina ya maswali ambayo huwa huulizwa ama maswali ambayo huulizwa kwa organization nyingine mara kwa mara,ndo interview yangu ya kwanza jaman,so msaada wenu ni muhimu sana kwangu.
 
interview ni tarehe ngapi mkuu? nilikuta missed col ya simu ya mezani nikacheck kwenye directory nikagundua ni lnamba ya lapf. nikajaribu kuwapigia simu ikawa haipokelewi..... msaada mkuu plz, na mm niliapply kwa hyo post
 
Hongereni wakuu, maswali huwa ni ya kawaida ila ya taaluma uliyoomba pia yataulizwa
 
interview ni tarehe ngapi mkuu? nilikuta missed col ya simu ya mezani nikacheck kwenye directory nikagundua ni lnamba ya lapf. nikajaribu kuwapigia simu ikawa haipokelewi..... msaada mkuu plz, na mm niliapply kwa hyo post

j4 saa 4 asubuhi mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…